Viongozi wa upinzani wameishutumu serikali kwa kukiuka katiba kwa kutumia nguvu

  • | Citizen TV
    5,795 views

    Viongozi wa upinzani wameishutumu serikali kwa kukiuka katiba kwa kutumia nguvu kupita kiasi kila wakati dhidi ya waandamanaji. Viongozi hao wakiwasilisha mashada ya maua mbele ya bunge na kusema tume yao mpya haki inanakili visa vyote vya ukiukaji wa haki za waandamanaji.