Vurugu ilishuhudiwa kabla ya mvua kuzima maandamano Mombasa

  • | KBC Video
    31 views

    Biashara zilisalia kufungwa mchana kutwa katika Jiji la Mombasa baada ya wakazi kuungana na na Wakenya wengine kuwakumbuka vijana waliouawa wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024. Wito kwa serikali kufidia familia za waathiriwa wa maandamano hayo ndio Ilikuwa usemi wa wakazi. Maandamano hayo ya amani ya asubuhi hata hivyo yaligeuka kuwa mchezo wa panya na paka pindi muda ulivyozidi kusona. Mwanahabari wetu Ann Mburu anatujuza mengi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive