Vijana walijipa hamnazo na kuvunja maduka katika barabara ya Tom Mboya ,Koja

  • | Citizen TV
    15,010 views

    Huku maandamano ya kuwakumbiuka waliopoteza maisha yao wakati wa kupinga mswada wa fedha mwaka 2024, vijana walijipa hamnazo na kuvunja maduka katika barabara ya Tom Mboya ,Koja pamoja na kituo kikuu cha mabasi ya uchukuzi Bus station.