- 5,879 views
Familia za vijana waliouawa wakati wa maandamano ya mwaka jana walikabiliwa na gesi ya kutoa machozi walipokuwa wakishiriki maandamano ya amani kuwakumbuka wapendwa wao. Miongoni mwa waliokabiliwa na tukio hilo ni jamaa za marehemu na watetezi wa haki akiwemo aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga. Matumizi haya ya nguvu bila ya kuchokozwa yameibua ukosoaji mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kulikuwa na ahadi kwamba familia hizo zingetengewa mazingira salama ya kuomboleza bila tatizo.
Familia za vijana waliouawa wakati wa maandamano ya mwaka jana wakabiliwa na maafisa wa polisi
- - Duniani Leo ››
- 26 Jun 2025 - Kenyans turned out in massive numbers to demand justice for Gen Zs who died.
- 26 Jun 2025 - Mix of uneasy calm, running battles mark day in Nyanza and Western
- 26 Jun 2025 - Your guns won't silence our voices, opposition and protesters tell Ruto
- 26 Jun 2025 - Standard Group: Illegal TV shutdown undermines free press
- 26 Jun 2025 - MPs scatter for safety amid fear of second 'visit' by irate Gen Zs
- 26 Jun 2025 - Death, violence, and looting in Rift Valley as protesters take to the streets
- 26 Jun 2025 - Kenya anniversary protests turn violent, 8 dead
- 26 Jun 2025 - The police concealed their identities using masks and wore civilian clothes.
- 26 Jun 2025 - Micro, Small and Medium Enterprises Development PS Susan Mang’eni condemns the looting.
- 26 Jun 2025 - Invasive practice that has been tackled by court rulings and government action. So why is it still going on?