Mali ya mamilioni yateketezwa kwenye maandamano katika afisi za serikali Ol Kalou

  • | NTV Video
    1,244 views

    Mali ya dhamani ya mamilioni ya pesa iliteketezwa jana katika afisi za naibu kamishna wa kaunti mjini Ol Kalou, kaunti ya Nyandarua wakati wa maandamano ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu maandamano ya Gen Z.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya