Wanawake waandamana wakitaka mshukiwa achukuliwe hatua kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    484 views

    Wanawake eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta wameandamana kushinikiza serikali kuchukua hatua dhidi ya wahalifu wanaowanyemelea eneo hilo.