Wadau wa drone wataka ushirikiano na sekta ya ndege za rubani kusimamia anga

  • | NTV Video
    193 views

    Wadau wa sekta ya ndege zinazoendeshwa kwa rimoti, maarufu drone, wametoa wito wa ushirikiano na sekta ya ndege zinazoendeshwa na marubani, ili kuwezesha viwango vya pamoja vya usimamizi wa anga katika mataifa mbalimbali duniani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya