Wagonjwa wa haimofilia wapata afueni baada ya uzinduzi wa kliniki maalum

  • | NTV Video
    66 views

    Wagonjwa wa haimofilia katika hospitali ya kitaifa ya rufaa ya majeraha ya uti wa mgongo, wamepata afueni kufuatia uzinduzi wa kliniki maalum ya ugonjwa huo inayolenga kuwahudumia wagonjwa wa majeraha ya uti wa mgongo wanaokumbwa pia na tatizo la kutokwa damu bila kuganda.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya