Mimba za mapema bado donda sugu kwa wasichana wa miaka 15–18

  • | NTV Video
    85 views

    Changamoto ya mimba za mapema miongoni mwa wasichana wa kenya bado ni donda sugu. Wakiwa na umri mdogo wa miaka 15 hadi 18, wasichana wengi hujikuta wakikumbana na mzigo wa ujauzito bila maandalizi, msaada, wala taarifa sahihi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya