BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    5,762 views
    Waziri wa Mambo ya ndani wa Kenya Kipchumba Murkomen anasema kuwa maandamano yaliyofanyika katika maeneo tofauti nchini Kenya jana yalikuwa jaribio la mapinduzi. Lakini je, waandamanaji wenyewe wanasemaje?