Mbabe wa himaya ya Uingereza

  • | BBC Swahili
    3,323 views
    Idd Amin Dada, kutoka kuwa mpishi msaidizi katika jeshi la kikoloni hadi dikteta wa Uganda 🇺🇬. Mfalme wa Uskochi na Mbabe wa Himaya ya Uingereza ni baadhi tu ya majina aliyojipa. - Amini alitawala Uganda kwa miaka nane tangu mwaka 1971 na 1979 - Utawala wa Amini uligubikwa na vitimbi na simulizi za kutisha, ungana na @Sammy katika uchambuzi huu @Bran Mala - - #bbcswahili #uganda #afrikamashariki #tanzaniatiktok #dikteta #uongozi #iddiamin #utawala #foryoupage #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw