Viongozi kutoka Bonde la Ufa wakerwa na uharibufu wa mali

  • | Citizen TV
    2,502 views

    Viongozi wa Kenya Kwanza wamekemea vikali maandamano ya vurugu yaliyoikumba sehemu mbalimbali za nchi sikuya jumatano, huku wakitoa wito kwa mamlaka kuwakamata waliohusika na kutumia wahuni kwenye maandamano hayo yaliyosababisha uharibifu na uporaji wa mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa.