Fununu za kuwepo kwa makataa ya kutoka nje (curfew) yakera wakaazi wa Nakuru

  • | Citizen TV
    14,596 views

    Wakaazi wa kaunti ya Nakuru wanaishi Kwa uoga kutokana na hofu kwamba Kuna makataa ya kutotoka nje kuanzia saa moja Jioni, huku vyombo vya usalama vikisalia kimya Kuhusu swala hili iwapo ni ukweli au uongo.