Awasha moto ndani ya treni iliyojaa abiria

  • | BBC Swahili
    1,118 views
    Tazama namna mwanaume huyu wa wa Korea Kusini alivyochoma moto ndani ya treni ya chini ya ardhi huko Seoul, Korea Kusini CCTV ilinasa mwanamume huyo akimwagia kitu cha majimaji kinachowaka kabla ya kuwasha moto ndani ya treni hiyo iliyokuwa imejaa abiria Watu sita walijeruhiwa wakati wa tukio hilo, ikiwa ni pamoja na kupata athari za kuvuta moshi na kuumia wakati wakijaribu kukimbia. Hakuna vifo vilivyoripotiwa. Mshukiwa mwenye umri wa miaka 67 amefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuua na kuchoma moto. #bbcswahili #koreakusini #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw