Maandalizi ya makala ya 25 ya mbio za Lewa Marathon

  • | Citizen TV
    289 views

    Maandalizi ya makala ya 25 ya mbio za Lewa Safari zitakazoandaliwa hapo kesho katika kaunti ya Meru yamekamikika. Moja kwa moja tuungane na mwanahabari wetu Geoffrey Mwamburi aliyeko katika hifadhi ya mbuga ya Lewa, kutakapoandaliwa mbio hizo.