Kenya kuongoza kwa uchumi mkubwa Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    2,814 views
    Makadirio ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), yaliyotolewa Aprili 2025 imeiorodhesha Kenya kama taifa lenye uwezo mkubwa zaidi kiuchumi kulingana na pato la taifa likiwa na uwezo wa kuzalisha bidhaa na huduma ya jumla ya thamani ya dola bilioni 131.67 ikifuatiwa na Ethiopia ambayo kwa muda ilikuwa nchi yenye uchumi mkubwa na pato la takriban dola bilioni 117.46. Mwandishi wa BBC, Regina Mziwanda anatupitisha katika tathmini hii; #bbcswahili #uchumi #afrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw