Wakaazi wa Kajiado walalamikia kukosa huduma ya maji

  • | Citizen TV
    184 views

    Kaunti ya Kajiado inaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya uhaba wa maji, hali inayozidi kuwaathiri wakazi wa maeneo mbalimbali hususan vijijini. Kwa miezi kadhaa sasa, familia nyingi katika maaeneo ya kajiado kusini yamekuwa yakilazimika kutembea mwendo mrefu kutafuta maji