Mafunzo yanahusu mbinu za kudhibiti magugu Nandi

  • | Citizen TV
    60 views

    Wakulima katika kaunti ya Nandi wamenufaika na mafunzo ya jinsi ya kudhibiti kwewe na Magugu shambani kwa kutumia mbinu tofauti. Utumiaji wa madawa ya kemikali kunyunyiza shambani umetajwa kuwa na athari ya kiafya kwa binadamu, kwa chakula na hata katika mazingira