Upasuaji wa miili ya vijana wawili Emali

  • | Citizen TV
    463 views

    Upasuaji wa miili ya vijana wawili waliopigwa risasi na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya jumatano mjini Emali kaunti ya Makueni unfanyika leo katika hospitali ya kilome nursing