Warsha ya siku sita yaendelea Nakuru

  • | Citizen TV
    76 views

    Warsha ya siku sita ya kuwaelimisha maafisa watakao ongoza zoezi la kuwahesabu familia zinazoishi mitaani kote nchini imekamilika jijini Nakuru, ni zoezi la sensa ya familia hizi za mitaani katika kaunti 47 inchin itakao anza tarehe 2 July na kukamilika tarehe Tisa July, Kwa lengo la kubaini idadi kamili ya watu hawa