Mtu mmoja ameuawa huku sita wakijeruhiwa Isiolo

  • | Citizen TV
    606 views

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine sita, akiwemo mtoto wa miaka kumi na moja, wakijeruhiwa kwa risasi kufuatia shambulizi la wizi wa mifugo katika kijiji cha lmd, kata ya Burat, kaunti ya Isiolo usiku wa jana