Duale awaonya walaghai wa SHA

  • | Citizen TV
    189 views

    Waziri wa afya Aden Duale anasema kuwa serikali inatumia akiliunde kuwanasa wanaotumia ulaghai kufuja pesa za bima ya afya SHA