Wakazi wa Churo katika eneobunge la Tiaty wamepata matumaini mapya baada ya kupokea hati miliki 2,50

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakazi wa Churo katika eneobunge la Tiaty wamepata matumaini mapya baada ya kupokea hati miliki 2,500 za ardhi, kwa mara ya kwanza tangu Kenya ipate uhuru mwaka 1963