Sera mpya ya klulinda watoto yazinduliwa LungaLunga

  • | Citizen TV
    100 views

    Idara ya watoto, serikali ya kaunti ya Kwale na mashirika ya Kijamii eneo la Lungalunga wamezindua sera mpya ya kulinda haki za watoto. Mwongozo wa sera hiyo unalenga kuhakikisha watoto wanaodhulumiwa wanashughulikiwa vilivyo na jamii nzima bila haki zao kukandamizwa