Viongozi wa Kenya Kwanza wataka vijana wawe watulivu

  • | Citizen TV
    727 views

    Viongozi wa kenya kwanza katika kaunti ya trans nzoia wamewataka wanasiasa wa upinzani kusitisha siasa za mapema, wakisema zinakwamisha maendeleo na kuchanganya wananchi.