Viongozi wa kidini wakutana Kisii kujadili maandamano

  • | Citizen TV
    528 views

    Viongozi wa makanisa mbalimbali kaunti ya Kisii wanakutana mjini kisii kuzungumzia mustakabali wa taifa, hususan baada ya maandamano ya vijana wa gen z.