Amin: watu 485 walikamatwa wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    2,960 views

    Mkurugenzi mkuu wa Idara ya Upelelezi Mohammed Amin amesema idara hiyo haimtafuti aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua, kufuatia machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya gen z jumatano iliyopita.