Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi abanduliwa

  • | KBC Video
    2 views

    Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire hatimaye amebanduliwa baada ya kura 40 kati ya 50 kupigwa na wawakilishi wadi. Mwambire amebanduliwa kufuatia madai ya matumizi mabaya ya afisi miongoni mwa madai mengine. Akizungumza baada ya zoezi hilo, kiongozi wa wengi katika bunge hilo Ibrahim Abdi alitupilia mbali madai kwamba ubanduzi huo ulichochewa na mmoja wa viongozi wakuu katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive