Rais aeleza haja ya nia ya dhati ya kisiasa ili kutekeleza maafikiano

  • | Citizen TV
    2,345 views

    Rais William Ruto ameeleza haja ya kuwa na nia ya dhati ya kisiasa ili kutimiza malengo yaliyoainishwa katika makubaliano katika kikao cha mkataba wa ustawi unaofanyika Jijini Seville,Uhispania