Wanaharakati Mombasa wataka waliotekwa nyara waachiliwe

  • | Citizen TV
    289 views

    Mashirika ya kutetea haki za kaunti ya mombasa wameshtumu kukamatwa kwa baadhi ya wanaharakati katika kaunti za Mombasa, Nairobi, nyandarua na Kisumu. Wanaharakati hao wanailaumu serikali wakisema ni njama ya kuzima sauti kuhusu haki