Serikali ya kaunti yanunua mapipa makubwa 26 na lori la takataka

  • | Citizen TV
    156 views

    Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga imechukua hatua ya kuimarisha sekta ya kuzoa taka kwa kusambaza mapipa makubwa ya taka 26 pamoja na lori la kubebea taka, ili kuboresha usafi katika miji na vituo vya biashara