Uzinduzi wa chuo cha michezo cha eneo bunge la Yatta Kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    253 views

    Waziri wa michezo Salim Mvurya amewataka vijana kutumia vyema vyuo vya michezo vinavyojengwa na serikali kote nchini kukuza talanta zao mashinani