Unyakuzi wa ardhi Samburu

  • | Citizen TV
    381 views

    Wakaazi wa Nomotio, Samburu Magharibi wamefanya maandamano ya amani kulalamikia madai ya unyakuzi wa ardhi wanayosema kuwa jamii iliitenga kwa ajili ya ujenzi wa zahanati