Viongozi wa upinzani washinikiza Murkomen ajiuzulu

  • | Citizen TV
    1,781 views

    Viongozi wa upinzani wameendelea kuikashifu serikali kwa namna ilivyokabiliana na waandamanaji wakati wa maandamano ya Gen Z. Wakiongozwa na kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, aliyetembelea familia ya Boniface Kariuki katika eneo la Githurai, viongozi hao wameendelea kumshinikiza Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen kujiuzulu kufuatia kauli zake za kuwatetea polisi kwa mauaji.