Korti yamtaka Mkurugenzi wa DCI, Mohamed Amin, kueleza alipo mwanateknolojia Ndiang'ui Kinyagia

  • | NTV Video
    3,590 views

    Tangu Juni 21, siku kumi na moja sasa, bloga na mwanateknolojia Ndiang'ui Kinyagia anayetuhumiwa kwa kosa la kukemea serikali hajapatikana. Mawakili wa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai Amin Mohamed walifika kortini kuomba wapewe muda zaidi ya kumtafuta Ndiang'ui na kumwasilisha kortini lakini korti ikawapuuzia. Mahakama inamtaka Amin afike mwenyewe mahakamani Alhamisi akiwa na maelezo ya aliko Ndiang'ui.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya