Gumzo la maneno “Free, free… Palestine!”

  • | BBC Swahili
    3,042 views
    Bendi ya Bob Vylan iliongoza umati kwenye Tamasha la Glastonbury kuimba maneno haya ambayo yameibua mjadala mkali nchini Uingereza na Mashariki ya Kati. Lakini hali ilibadilika ghafla pale kiongozi wa bendi, Bobby Vylan, alipotamka kauli hii: “Kifo kwa IDF” akimaanisha Jeshi la Ulinzi la Israel. - - #bbcswahili #palestine #uingereza #israeli Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw