Huduma za serikali Lamu

  • | Citizen TV
    120 views

    Wakazi wa Kisiwa cha Pate eneo bunge la Lamu Mashariki kaunti ya Lamu hulazimika kusafiri kwa zaidi ya saa sita kwa boti ili kusaka huduma za vitambulisho, huduma za watoto, huduma za mahakama miongoni mwa huduma zengine za serikali katika Kisiwa cha Amu Lamu Magharibi