Bajeti ya kaunti ya Tharaka Nithi imepitishwa

  • | Citizen TV
    94 views

    Baada ya wiki kadhaa za mvutano mkali kati ya Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, na baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Kaunti (MCAs) kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha wa 2025/2026, hatimaye kaunti imepata uungwaji mkono wa kutosha kupitisha bajeti hiyo