Wanakijiji wafunzwa mbinu za kudhibiti ukeketaji Kuria, Migori

  • | Citizen TV
    61 views

    Wanakijiji zaidi ya 1,700 katika Maeneo ya Kuria kaunti ya Migori wamehamasishwa na kuelimishwa kuhusu namna ya kuwasilisha ujumbe na kutangamana na wanajamii kama njia moja ya kukomesha dhuluma kwa mtoto wa kike