Kituo cha watoto wenye matatizo ya hisia na mawasiliano Lungalunga

  • | Citizen TV
    71 views

    Idara ya afya ya jamii katika eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale imezindua kituo maalum cha kutoa huduma kwa watoto wenye changamoto za hisia na matatizo ya mawasiliano kama tawahudi na ADHD