Wakazi washauriwa kutafuta matibabu mapema kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    207 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu,wametakiwa kuzingatia usafi wa meno ili kudhibiti maradhi ya meno sawa na kudhibiti meno kuwa na rangi ya hudhurungi