Mwelekeo wa jamii ya Abagusii

  • | Citizen TV
    2,611 views

    Wadau mbalimbali kutoka kaunti ya Kisii wakiwemo wazee, mawakili, wafanyakazi na vikundi mbalimbali vya vijana na kina mama wameandaa mkutano mjini Kisii kutathmini mwelekeo wa eneo nzima la Gusii hususan kuhusu maswala ya uongozi na maendeleo