Viongozi wa Kiislamu wapinga uamuzi wa mahakama ya upeo

  • | Citizen TV
    556 views

    Viongozi wa dini ya kiislamu kutoka ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa, wakiongozwa na mkuu wa Maimu Abubakar Bin wamesema ,si haki kwa mahakama ya upeo humu nchini kutoa uamuzi kuwa Watoto wa kiislamu walio zaliwa nje ya ndoa wana haki ya kuridhi mali ya baba zao kinyume na dini hiyo.