Polisi wawashika washukiwa 8 wa wizi wa mbolea huko Maua

  • | Citizen TV
    452 views

    Washukiwa 8 wa wizi wa mbolea wamekamatwa na mifuko ya mbolea zaidi ya elfu saba iliyoibiwa imepatikana kufuatia uporaji na uharibifu wa ghala la bodi ya nafaka na mazao (ncpb) katika mji wa maua, kaunti ya meru, wiki iliyopita.