Wizara ya Afya yajadili Surua, Ukambi na Homa ya Matumbo

  • | Citizen TV
    160 views

    Wizara ya Afya inalenga watoto zaidi ya milioni ishirini katika kampeni ya chanjo dhidi ya surua , ukambi na Homa ya Matumbo itakayoendeshwa katika kauti zote arobaini na saba.