Wanaharakati watatu waachiliwa kwa dhamana ya ksh.200,000

  • | Citizen TV
    638 views

    Wanaharakati watatu waliokamatwa kwa madai ya kupanga vurugu na uharibifu wa mali wakati wa maandamano ya tarehe 25 Juni wameachiliwa kwa dhamana ya shillingi 200,000.