Ibada yafanyika katika kanisa la Ridgeways Baptist Nairobi

  • | Citizen TV
    890 views

    Jamaa na marafiki wamemmiminia sifa marehemu mwalimu Albert Ojwang katika ibada ya ukumbusho iliyofanyika katika kanisa la ridgeways baptist hapa jijini Nairobi