Viongozi wanawake wahamasisha wanafunzi wa Vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    85 views

    Viongozi wanawake hapa Nairobi wameanzisha kampeni ya kutaka wanafunzi wa vyuo vikuu kukoma kujihusisha na dhulma ya jinsia katika tasisi za elimu ya juu.