Hatimaye Bajeti ya kaunti ya Tharaka Nithi imepitishwa

  • | Citizen TV
    1,116 views

    Baada ya wiki kadhaa za mvutano mkali kati ya Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, na baadhi ya wawakilishi wadi kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha wa 2025/2026, hatimaye kaunti imepata uungwaji mkono wa kutosha kupitisha bajeti hiyo.