Wimbo wazua utata kwenye Tamasha la Glastonbury

  • | BBC Swahili
    1,966 views
    Bendi ya Uingereza Bob Vylan imeibua mjadala mkali wakati wa onesho lao katika Tamasha la kila mwaka la Glastonbury, baada ya Rapa Bobby Vylan kuongoza nyimbo za "Palestina huru, huru" na "kifo, kifo kwa IDF [Majeshi ya Ulinzi ya Israeli]". Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer aliita "matamshi ya chuki ya kutisha. Waandaaji wa tamasha pia wamesema "walishangazwa" na nyimbo hizo kwa kuwa "hawaruhusu matamshi ya chuki na uchochezi katika tamasha la Glastonbury. #bbcswahili #palestine #uingereza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw